Friday, 23 November 2012

MLOPELO AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa msanii wa kundi la sanaa kaole..MLOPELO , amefariki dunia mchana wa leo katika hospital ya TEMEKE, msiba upo nyumban kwao temeke na mazishi yatafanyika kesho saa
nne asubuhi.