Thursday, 13 December 2012

RAY C AMSHUKURU RAISI KIKWETE

Hivi ndivyo ray c alivyokwenda kumshukuru raisi kikwete  kwa msaada aliompa kwa ajil ya kurudisha afya yake ya awali baada ya kuathilika kwa madawa ya kulevya.