msanii BK kutoka kundi la muziki la TMK wanaume halisi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tar 13th FEB. Marehemu alikuwa amelazwa katika hospital ya muhimbili jijini Dar es salaam akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wamoyo!. TIMU NZIMA YA WATU SMART ENTERTAINMENT COMPANY INATOA POLE KWA NDUGU NA JAMAA WA BK!