Tuesday, 5 February 2013

SHAKIRA AONESHA PICHA YA KWANZA YA MTOTO WAKE AKIWA NA BABA YAKE ''Gerald Pique''

Hii ndio ile picha ambayo mwanamuziki kutoka nchini colombia ''SHAKIRA(36)'' aliisambaza katika mitandao ya kijamii ya facebook pamoja na twitter kwa mara ya kwanza, huku ikimuonesha beki wa
club ya Barcelona na timu ya taifa ya Spain ''GERALD PIQUE(25)'' ambaye ndio baba wa mtoto huyo akiwa kambeba mtoto wake aliyezaa na mwanamuziki SHAKIRA. Jina la mtoto huyo ni MILAN