Tuesday 16 July 2013

Edinson Cavani AJIUNGA NA PSG.

Paris St-Germain wamekamilisha dili la kumsajili mshambuliaji raia wa uruguay ''edinson cavani'' kutoka napoli kwa kiasi
cha £55m.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26, amesaini mkataba wa miaka 4 na timu hiyo ambao ndio mabingwa watetezi waligi kuu ya nchini ITALIA.
Haya ni maneno ya rais wa PSG  Nasser Al-Khelaifi "The transfer of Edinson Cavani is further proof of the club's ability to attract the best players in the world,"