Tuesday, 30 July 2013

IRENE UWOYA AHAMIA KATIKA TASNIA YA UTANGAZAJI'

Mwigizaji wa kike kutoka TANZANIA ''IRENE UWOYA'' yupo mbioni katika kuandaa kipindi chake kinachohusu masuala ya urekebishaji wa nyumba.Kipindi
hicho kitarushwa kupitia CLOUDS TV.
Katika mtandao wa kijamii ya instagram mwanadada IRENE aliandika hivi.
“Clouds tv...kipind changu kipya kinahusu nyumba natengeneza na kukarabat nyumba...plz nipen support tuwasaidie watanzania wenzetu”