Friday, 26 July 2013

MARY J BLIGE ATAMBULISHA RASMI ALBUM COVER YAKE YA ''A MARY CHRISTMAS''

Msanii wa miondoko ya R&B ''MARY J BLIGE'' ameanza kuitangaza albamu yake mpya ya ''a mary christmas''
ambayo inatarajiwa kutoka katikati mwa mwezi wa kumi(10). Hii album imetengenezwa na producer David Foster.
Matarajio ya MARY J ni kufanya vizuri katika msimu wa mapumziko ya sikukuu za christmas na mwaka mpya.