Thursday 15 August 2013

ELIZABETH MICHAEL''LULU'' AZINDUA FILAMU YAKE YA FOOLISH AGE.

Elizabeth michael Baada ya muda mrefu washabiki wake wakiisubiri  Filamu yake iitwayo FOOLISH AGE sasa
kwa furaha tele anapenda kuwahabarisha washabiki wake kwamaba tarehe 30/ 8/2013 pale MLIMANI CITY HALL itakuwa ndo siku ya uzinduzi wa filamu hii .Katika uzinduzi huu Elizabeth Michael ( LULU) atasindikizwa na wasanii mbali mbali akiwemo mwandada comando LADY JAYDEE na band ya MACHOZI.
WATU SMART ENTERTAINMENT INAKUTAKIA LULU MFANIKIO MEMA KATIKA FILAMU HIYO.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...