Thursday 8 August 2013

EX-WIFE WA USHER TAMEKA FOSTER AMPELEKA USHER MAHAKAMANI KISA WATOTO.

(TAMEKA FOSTER)Aliyekuwa mke wa mwanamuziki wa miondoko ya r&b ''usher raymond'' ameamua kufungua kesi upya anayodai kuwa yeye ndiye mwenye
uwezo wa kuwalea watoto aliozaa na usher.Hii imetokea mara baada ya mtoto wa usher raymond kuponea chupuchupu kufariki kutokana na kuzama katika swimming pool iliyopo nyumbani kwa usher.
hapo chini ni nukuu kutoka katika jarida la TMZ
In the docs, Tameka claims Usher Raymond V was left unsupervised in the swimming pool when his arm got stuck in the drain. Tameka says Usher delegated his supervisory responsibilities to his aunt … who she believes was not on the ball.
Tameka, who is asking for temporary primary custody of their two children, says it’s typical that Usher delegates responsibility for their kids … because he’s out of town 85% of the time every month.
What’s more, she says Usher had fired every caregiver who was on staff when he was awarded primary custody … and she’s clearly saying the replacements are not up to snuff.
In the documents, which were filed Tuesday — the day after the pool accident — Tameka wants decision-making power over the children’s education, healthcare, religion and extracurricular activities.
The hearing date has not been set.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...