Saturday 17 August 2013

Ray c:NIngependa kuwashauri walioathirika na madawa ya kulevya, usiogope nenda kanywe dawa hii

rayc1982Mungu ni Mkubwa sana.....wote hawa tuliokaa hapa tuliathirika na Madawa ya Kulevya na
Tumepona kwa kunywa Dawa Moja tu inayoitwa Methadone na inapatikana Muhimbili na Mwananyamala Pekee na ni Bure Kabisa,Tunamshukuru sana Mh Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutuletea dawa hii,Ningependa kuwashauri walioathirika na madawa,iwe wewe,ndugu yako,rafiki,kaka,dada,mjomba,jirani au yoyote alie karibu na wewe,usiogope Amua tu kwamba unataka kupona,nenda kanywe hii dawa utapona kabisa.....


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...