Thursday, 22 August 2013

TANZANIA BLOG AWARDS: Vipengele vya Kushiriki na Sheria za Shindano la Mwaka Huu 2013


Tafadhali soma vizuri. Mwaka huu tumebadilisha,vipengele vya shindano letu na sheria ya shindano letu.  Kwa
blog yako au blog unayotaka ipendekezwe tafadhali wataarifu bloggers hao, hatutaki kushirikisha bloggers ambao hawataki kuhusishwa katika shindano hili. Sasa ili tujue kuwa blogger huyo unayempendekeza amekubali au anajua kushirikishwa kwake katika shindano hili mwambie alink blog yake katika shindano letu.


Jinsi ya kulink

1. Aandike post kuhusu shindano hili na kuwataarifu wasomaje wake katika post hiyo alinki kwetu...Tanzanian blog awards link. 

2. Kama blog unayoipendekaza hatafanya hivyo blog yake haitashirikishwa

3. Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja

mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza 

              tanzanianblogawards.blogspot.com

Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hiyo ishirikishwe

Best Agriculture
Best Beauty/Fashion Blog

etc etc   

4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hii hapa Email 


nomination@bloggersassociationoftanzania.com au tanzanianblogawards@gmail.com

5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni 
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 30/8/2013 saa 11:59pm saa za Africa mashariki


Vipengele  

Best Agriculture
Best Beauty/Fashion Blog
Best Business Blog
Best Creative Writing Blog
Best Design/Graphic Design Blog
Best Educational Blog
Best Entertainments
Best Food Blog
Best General Blog
Best Inspiration Blog
Best Newcomer Blog
Best News Blog
Best Photography Blog
Best Political Blog
Best Religion Blog
Best Sports Blog
Best Technology Blog
Best Tots Blog  (17 yr old and below)
Best Travel Blogs



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...