Sunday, 18 August 2013

TONI BRAXTON AACHA MAKALIO YAKE WAZI AKITUMBUIZA JUKWAANI.

R&B diva Toni Braxton amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kutumbuiza huku makalio yake
yakionekana. Baada ya tukio hilo Diva Toni ali-tweet kwa kusema kuwa  “Nobody’s Perfect! Lol,” huku dada yake Tamar akimjibu kwa ku-tweet “You are tho sissy! At least your ass is AMAZING!”
Cheki video hapo chini kujionea ilivyokua.

        
     


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...