Sunday 1 September 2013

CHID BENZ APAMBANA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA.


MSANII wa muziki wa hip hop nchini, Rashid Abdallah Makwilo ‘Chid Benz’, ameanzisha taasisi yake ili kusaidia watu walioathirika na utumiaji wa dawa za kulevya. Akizungumzia swala hilo , Chid alisema taasisi hiyo itasaidia katika kupata njia mbadala za kusaidia kutatua tatizo la utumiaji wa dawa za kulevya.

“Dawa za kulevya zina athari kubwa katika maisha ya wanadamu, hivyo nitakuwa sambamba na Serikali katika kusaidia walioathirika na dawa za kulevya,” alisema Chid Benz.



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...</