Wednesday, 18 September 2013

HII NDIO RATIBA YA "MASTERMIND TOUR" KUTOKA KWA RICK ROSS


Rick Ross ametangaza rasmi tour yake iitwayo "MASTERMIND TOUR" ambayo itaanza tar 12thNOVEMBER katika majiji 8 nchini Marekani.
Ratiba kamili iko hapo chini.
11/12 – Detroit, MI – Masonic Temple Theatre
11/14 – Boston, MA – Orpheum Theatre
11/15 – New York, NY – Beacon Theatre
11/16 – Mashantucket, CT – MGM Grand Theater at Foxwoods
11/17 – Washington, DC – DAR Constitution Hall
11/20 – Atlanta, GA – Fox Theater
11/22 – St. Petersburg, FL – Mahaffey Theatre
11/23 – Miami, FL – James L. Knight Center