Wanamuziki Shetta na Chege kutoka TMK wanaume, leo wamejikuta wakikaguliwa kwa kutolewa vitu vyao vilivyomo kwenye begi ikiwemo nguo kwa kile ambacho wakaguzi hao walihisi hawa jamaa huenda watakuwa na madawa ya kulevya.
Kutokana na tendo hilo Shetta amejikuta akikasirika mpaka kuandika maneno makali kuonesha kutopendezwa na kitendo hicho. soma hiyo alichokiandika hapo chini kupitia instagram