Tuesday, 1 October 2013

Hizi ndizo tunzo za YOUTUBE MUSIC AWARDS-2013

Ule mtandao maarufu kwa kuangalia video mbalimbali za wasanii ujulikanao kama yotube wameanzisha
tuzo zao za muziki ambazo wasanii watazawadiwa.


Nominations will be chosen based on videos that have been watched and shared over the past year.Users will then be asked to choose winners by sharing the nominees across social media.
Tamasha hilo litaonekana live kwenye mitandao tarehe 17/october na litafanyikia New York na wasanii mbalimbali kama Eminem, Lady Gaga na wengine wengi watatoa show ya nguvu siku hiyo.
The YouTube Music Awards will be hosted by American actor Jason