Friday, 18 October 2013

Huu ndio ujio mwingine wa Solid ground family baada ya Happy birthday.


"Tungejua Ya Mbele" ni ngoma mpya inayotarajiwa kuachiwa na kundi la SolidGround Family ambalo kwa sasa linatamba zaidi na ngoma yao ya Happy Birthday ambayo waliiachia siku za nyuma.

Katika ngoma hii ya Tungejua Ya Mbele, kundi la SolidGround limewashirikisha wasanii wawili ambao ni Mary Lucos pamoja na Gucci Bandana.