Friday, 18 October 2013

Miss Universe Tanzania akabidhiwa bendera tayari kwa mashindano ya dunia.

Miss universe Tanzania-2013 "Betty Boniface Omara" anatarajiwa kwenda nchini
Urusi tayari kwa mashindano ya miss universe yatakayofanyika mwezi november.
Leo katika ukumbi wa wizara ya maliasili na utalii, Waziri Kagasheki alimpatia bendera mrembo huyo tayari kwa kuiwakilisha vyema Tanzania katika mashindano hayo.
WATU SMART ENTERTAINMENT inakutakia Betty Boniface Omara mafanikio katika mashindano hayo.