Sikiliza ambacho baba wa marehemu MacMalick akizungumzia kuhusu mwanae na janga zima la matumizi ya dawa za kulevya.
Baba mzazi wa marehemu Mack Malick, mzee Said Mohamed amefunguka kwa kusema kuwa janga la madawa ya kuevya ni janga ambalo jamii nzima inapaswa kupigana nalo vita na si kuwalaumu wazazi. Hii imetokana na maradhi yaliyomsumbua mwanae mpaka mauti kumkuta ilikuwa ni kutokana na matumizi ya dawa hizo. sehemu ya interview hiyo iko hapo chini.