Friday, 13 December 2013

Ujio mpya wa Dyna Nyange "mimi na wewe"

Dayna Nyange anakuja na wimbo mpya ambao ameupa jina la “mimi na wewe”. wimbo huo utatoka
siku moja poamoja na video yake. Wimbo umekuwa produced by Tidd Hotter. Wimbo utatoka tarehe 14/12/2013.