Sunday, 23 February 2014

Eminem "Mimi na Rihanna tutafanya Monster tour katika miji 3"

Tangu mwaka 2010 Eminem ametengeneza hits mbili ambazo ni "love the way you lie" pamoja na "monster"
ambazo ngoma zote hizo amemshirikisha mwanadada Rihanna. Kutokana na hits hizo Eminem ameamua kufanya tour akiwa na Rihanna ambapo ameiita MONSTER TOUR.
Tour hiyo itafanyika katika majiji 3 ambayo ni NEW YORK,LA na DETROIT mwanzoni mwa mwezi wa 8 mwaka 2014.