Thursday, 6 March 2014

Hatimaye siri yafichuka kuhusu mahusiano ya kimapenzi kati ya Nuh mziwanda na Shilole.

Baada ya kuwepo kwa uvumi juu ya mahusiano ya kimapenzi kati ya Nuh Mziwanda na mwanadada Shilole,
hatimaye sasa wameamua kuweka mambo yote hadharani baada ya kufanyiwa interview na kituo cha Clouds fm pande za Dar live wakati wa show ya usiku wa kigodoro iliyoandaliwa na Zamaradi wa clouds tv.
Sikiliza interview hiyo hapo chini.