Sunday, 5 October 2014

WAKALI SISI WAIBUKA WASHINDI WA DANCE 100%.

Dance 100% ni shindano la kutafuta kundi bora la kucheza muziki (Dancing) ambalo linaendeshwa
na kituo cha EATV kwa kushirikiana na VODACOM TANZANIA.
Katika shindano hilo kulikuwa na makundi mbalimbali ambayo yalichuana vikali na hatimaye bingwa ambaye ni "WAKALI SISI" akapatikana katika fainali zilizofanyika katika viwanja vya DON BOSCO oysterbay.