Rihanna ameweka historia jijini PARIS katika uwanja wa STADE DE FRANCE akiwa anapaform nyimbo zake. Uwanja huo ulikuwa umejazwa na watu wapatao 80,000 na zaidi. Katika show hiyo pia, Rihannaametajwa kuwa ni msanii wa tatu mwenye umri chini ya miaka 25 na mwenye asili ya kiafrika kufanikiwa kuteka hisia za maraia wa huko ufaransa baada ya Tina Turner and Prince .
![]() |
| UMATI WA WATU ULIVYOJAA |

