Friday, 12 July 2013

BRITNEY SPEARS AWASHIRIKISHA WATOTO WAKE KATKA MUSIC VIDEO YAKE YA 'OOH LA LA'

Mwanamuziki britney spears ameamua kuwashirikisha watoto wake ambao ni Sean Preston & Jayden katika music video
yake mpya ya

'OOH LA LA'. Katika video hiyo britney ameonekana akiwa na watoto wake katika ukumbi wa cinema na ghafla spears akachukuliwa na kuingizwa katika screen huku watoto zake wakionyesha kufurahi kwa kumuona mama yao akicheza ndani ya screen

tazama hiyo video hapo chini