Sunday, 14 July 2013

DAVID MOYES AFUNGWA KATIKA MECHI YAKE YA KWANZA AKIWA NA MAN U.

Kocha mpya wa manchester united ''DAVID MOYES'' amejikuta akipoteza mchezo wake wa kwanza
wa pre-season baada ya kufungwa goli moja bila majibu na timu ya ''singha all stars'' ya nchini Thailand.
mchezaji Teeratep Winothai wa singha all stars ndiye aliyefunga bao pekee katika dakika ya 50.
Haya ni Maneno ya moyes baada ya kufungwa  "It wasn't a brilliant result but this wasn't one we desperately needed to win,"
"It is one we needed to get prepared to win games."