Monday, 8 July 2013

LULU APATA TUNZO

Msanii katika tasnia ya uigizaji ''ELIZABETH MICHAEL(lulu)'' amepewa tunzo ya BEST ACTRESS IN SWAHILI MOVIES'' katika tunzo za ZIFF zilizofanyika huko zanzibar.