MARIAH CAREY AFANYA VIDEO MBILI ZA NYIMBO YA BEAUTIFUL
Hii ni video aliyoamua kuifanya tena baada ya ile ya kwanza, Je hii video hii itakuwa ni bora zaidi ya ile ya kwanza? VIDEO ZOTE MBILI ZIKO HAPO CHINI, ya juu ndio mpya na ya chini ni ile ya zamani