PICHA ALIYOIPOST AGNESS MASOGANGE KABLA YA KUKAMATWA
Picha aliyoipost Agnes Masogange katika mtandao wa Instagram kabla yeye na mwenzake hawajakamatwa na shehena ya madawa ya kulevya yenye thamani ya Tshs. bilioni 7 katika uwanja wa ndege wa OR Tambo jijini Johanesburg nchini Afrika Kusini mwanzoni mwa wiki hii.