nafasi ya kufanya video yake mpya ya wimbo wa 'NAKOMAA NA JIJI' katika jiji la New York nchini Marekani alipoenda Katika ziara ya Utamaduni wa kiswahili akiwa na mwigizaji Emmanuel Mgaya maarufu kama masanja mkandamizaji.
Shilole alipata nafasi ya kutengeneza video ya wimbo wake huo mpya baada ya kumaliza majukumu yaliyo mleta U.S.A.
Sehemu ambayo aliipendekeza video hiyo itengenezwe ni New York na ndoto hiyo ilitimia baada ya kupata studio ya kumtengenezea video yake.
Angalia picha za video hiyo.