Thursday, 4 July 2013

RAY C AWAAGA MASHABIKI WAKE KWA STAIL HII.

Msanii wa miondoko ya kizazi kipya REHEMA CHALAMIRA leo amewaandikia mashabiki wake ujumbe kupitia account yake ya instagram. Hii ni baada ya kufanikiwa kuachana na
matumizi ya madawa ya kulevya. Ujumbe huo unaashiria kama anataka kuachana na ishu za muziki,