Baada ya Profesa J kuwa jaji wa EBSS, Hichi ndicho alichokiandika katika ukurasa wake wa Facebook.
“Shukrani sana BSS kwa kunipa Heshima ya Kuwa mmoja wa majaji wa KITIVO Jana.. Kipindi cha bongo star search kinaruka hewani Siku ya jumapili( Keshokutwa), BLESS!! @ritapaulsen @masterjaytz”