Diamond Platnumz ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa siku ya tar 2 october
ambapo ilikuwa ni sherehe iliyoshereheshwa na wanafamilia wa karibu sana na Diamond pamoja na mpenzi wake Penny.
Diamond amefanya tofauti na miaka iliyopita ambapo huwa anasheherekea akiwa na wadau mbali mbali wa muziki wakiwemo wasanii wenzake.