Boss wa mtanashati entertainment, amepost picha pamoja na video ikimwoshesha msanii wake PNC
akiomba msamaha. haya ni maneno yake aliyoandika kupitia account yake ya facebook.
“hahaha jamani mziki ni kazi
pnc arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati”