watu hawajachanganyikiwa.vitu vinachanganya
— Chidi Beenz Chuma. (@ChidiBeenz) March 2, 2014
lazima mnyimwe pesa ili msiweke ugumu mkihitajika na wasiolipa hela.mkiwa matajiri mtataka kulipwa milioni 100 kwa show.hawaitaki hio ije
— Chidi Beenz Chuma. (@ChidiBeenz) March 2, 2014
usilalamike wanawapromote wasanii wao.hata redio ni zao.na wako na salon,maduka,wapiga picha,waandishi,club,kumbi za show,mapromota,studio..
— Chidi Beenz Chuma. (@ChidiBeenz) March 2, 2014
vijana wanataka kutoka na sisi tuna familia za kuangalia.na game ndio hili hili.bado tunaonekana vibuli?wanataka tuwe na maamuzi sawa.kweli?
— Chidi Beenz Chuma. (@ChidiBeenz) March 2, 2014
visistaduu vya mjini vinatuletea beef na wakurugenzi waliochelewa kupevuka.tunabaniwa. visistaduu now vinaimba.hatupiti kabisaaaaaa mamae.
— Chidi Beenz Chuma. (@ChidiBeenz) March 2, 2014
mnaowaamini hawana kauli.mnaowakimbia ndio kauli zenyewe.maendeleo gani mnayoyataka kwenye mziki huu? stupidito kabisa
— Chidi Beenz Chuma. (@ChidiBeenz) March 2, 2014