
hatimate msanii wiz khalifa pamoja na mwanamitindo amber rose wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume! ambaye amepewa jina la ''sebastian'' ...
WatuSmart Entertainment Company inawatakia wiz khalifa na amber rose maisha mema baada ya kufanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza''SEBASTIAN''