Sunday 21 April 2013

AMBER ROSE ACHORA TATTOO YENYE SURA YA WIZ KHALIFA KATIKA MGUU WAKE

Mara nyingi mtu akitaka kuonesha ni kiasi gani anampenda mpenzi wake, hua anachora tattoo yenye jina la huyo mpenzi wake. Lakini hii ni tofauti kwa mwanamitindo Amber rose ambaye yeye ameamua kuchora tattoo yenye picha ya mpenzi wake wiz khalifa.

Kwenye hiyo picha ameandika ''True Love Cam & Amb''