Friday, 4 October 2013

Huyu ndiye shilole akiwa kazini huku akikomaa na jiji.

Mwanadada Shilole ameleta gumzo sana katika show zake anazozifanya kipindi
hichi ambapo amekuwa akijiachia kupitiliza mpaka inakuwa noma sanaaa.
Tazama baadhi ya Picha akiwa jukwaani.