Thursday 23 May 2013

MR. NICE AZOMEWA NA MASHABIKI KENYA



Mapozi yamemponza msanii wa muziki ya miondoko ya UTAKE stairi Lukas Mkenda 'Mr Nice' hali iliyosababisha kuzomewa na mashabiki wake huku nchini Kenya
Hali hiyo imetokea baada ya msanii huyo kuombwa awasalime mashabiki wake na kuonyesha mapozi huku akitoa kauli ambazo yeye anahisi ni za utani




"Siwezi kufanya chochote kile kwa sababu nina mkataba na hamuwezi kunilipa " hayo ndiyo maneno aliyokuwa akiyasema Mr Nice