Tuesday 21 May 2013

PROFESA JAY AMEJIUNGA NA CHADEMA


Msanii wa muziki wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop Professa Jay amejiunga rasmi na chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)