Rapper EMINEM ambaye mwanzoni mwa miaka ya 2007
alipatwa na matatizo ya matumizi yaliyokithiri ya dawa za kulevya, sasa ameamua kutoa ducumentary ambayo inaitwa
''HOW TO MAKE MONEY SELLING
DRUGS''.
Documentary hiyo inazungumzia jinsi ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya pamoja na maisha ya eminem alivyokuwa addicted katika drugs.
ANGALIA VIDEO HAPO CHINI
ambayo ni interview aliyofanya juu ya documentary yake!