Tuesday, 17 September 2013

MWANA-HIP HOP MANSULI SINZA STAR AMEAMUA KUREJEA SHULE.


Rapper Mansuli anayejulikana zaidi kama "underground king" &"sinza star" ameamua kurudi shule kuongeza kiwango chake cha elimu. 
Msanii huyo alikiambia chombo kimoja cha habari(radio) kuwa anatarajia kujiunga na chuo cha uhasibu cha TIA kilichopo Mtwara kwa ajili ya kuongeza elimu.
Baadhi ya nyimbo ambazo zimempatia umaarufu msanii huyu ni pamoja na kina kirefu,tuko pamoja na inavyokuwa ambayo amemshirikisha GODZILA kutoka salasala.
WATU SMART ENTERTAINMENT INAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA KATIKA MBIO ZA KUTAFUTA ELIMU.