Wednesday, 19 June 2013

LIL WAYNE AKANYAGA BENDERA YA MAREKANI


Raper Lil Wayne ameonyesha kitendo cha dharau kwa kukanyaga bendera ya MAREKANI katika utengenezaji wa video yake mpya ya nyimbo inayoitwa GOD
BLESS AMERIKA, watu wengi hawajapendezwa na kitendo hicho.Hapo chini ni  video invyoonyesha jinsi ilivyokuwa.