Msanii mkongwe mwenye sifa ya kuchukua mara 10 grammy awards ''CHAKA KHAN'',siku ya jumamosi tarehe
28-july-2013 aliweza kupata tunzo kubwa ya heshima kwa jina lake kutumika kama jina la mtaa katika jiji la CHICAGO ambapo ndipo alipokulia tangu utoto wake. Je sisi watanzania tunatoa heshima gani kwa wasanii wetu tunaowaita wakongwe?