Thursday, 25 July 2013

CHRIS BROWN APAKA RANGI LAMBORGHINI ILI IFANANE NA SNEAKER ZAKE ZA NIKE.

  R&B-superstar Chris Brown amekuwa ni msanii anayeongoza kwa kubadirisha rangi ya gari yake kwa nia ya ku-match na
nguo au viatu vyake. Safari hii ameamua ku-match na raba zake za nike. Tazama picha za gari yake pamoja na viatu vyake.