Saturday, 27 July 2013

JAY Z AMPA SURPRISE MKEWE BEYONCE AKIWA JUKWAANI AKITUMBUIZA.

Jay Z ambaye ni mume wa Beyonce, aliwaacha mashabiki midomo wazi kwa kwenda kum-kiss mke wake akiwa ana-
perform jukwaani katika tour yake ya  Philadelphia. Agalia hii video hapa chini kuona jinsi ilivyokuwa.