Wednesday 17 July 2013

new Joint_ LIL WAYNE - ''GOD BLESS AMERIKA''

Hii ni ile music video ambayo ilimpa sana promo lili wayne wakati alipokuwa aki-shoot. Hii ni kutokana na kitendo chake cha kukanyaga bendera ya marekani kwa kucheza juu yake.
Angalia hiyo video hapo chini.