Wednesday 17 July 2013

JAY Z AONGOZA KWA MAUZO YA ALBAMU KATIKA WIKI YA KWANZA

Nyota wa miondoko ya HIPHOP nchini marekani ''JAY Z'' ameongoza kwa mauzo ya albamu yake ya ''magna carta'' ndani ya wiki ya kwanza huku
mwanamziki ciara akimfuatia.
Jay Z ameuza copies 527,000 na pia ciara aliyeshika namba mbili kwa mauzo ameuza copies 57,515.
Jay Z amefanikiwa kuuza copies nyingi kiasi hicho kutokana na mkataba wa kuuza albamu yake kupitia promotion za simu ya samsung .