Wednesday, 31 July 2013

NICKI MINAJ AMTOLEA NJE DJ. KHALED KUWA HAYUKO SERIOUS.

Nicki minaj amefunguka kuwa ile proposal ya Dj. Khalid kutaka kumuoa kuwa haikuwa serious kama ambavyo watu
wameichukulia.
Nicki minaj aliiambia Hot 97's Funkmaster Flex. kuwa “I was shocked just like the rest of the world and I was cracking up laughing with the rest of the world ’cause Khaled is a master at what he does,” 
Kabla ya dj khalid kuweka wazi nia yake ya kutaka kumuoa nicki, alikuwa ameshaachia ngoma mpya ambayo kawashirikisha nicki minaj, future & rick ross, hiyo ngoma inaitwa ''I WANNA BE WITH YOU''
Inasemekana kuwa hiyo ilikuwa kama njia ya kuipa promo nyimbo hiyo mpya, kwan hata naye nicki minaj alisema “It was just another way for him to kinda give the world a glimpse on the feeling of this record,” Minaj said.
"Nobody in my real life took it seriously,"

SIKILIZA HAPA CHINI INTERVIEW YAKE