Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2013, Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Shahada ya Ulinzi wa Jamii kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha ( IFM) ambaye pia ni Malikia wa Taji la Mkoa wa Morogoro Diana Laizer (21) ( kati kati) akiwa na wenzake mshindi wa pili , Sabra Islam (19) ( Kushoto) pia kutoka
Mkoa wa Morogoro pamoja na mshindi wa tatu Janeth Awet ( 19) kutokaMkoa wa
Lindi mara baada ya kutagazwa washindi katika shindano lao lililofanyika Juni 29, mwaka huu.